MAFUNZO YA NDOA
Kituo cha Usimamizi wa Masuala ya Familia cha Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro Kikishirikiana na taasisi ya An-Nahl Trust Kimeendesha Mafunzo ya Ndoa kwa siku mbili kwa Walioko na Wasioko kwenye Ndoa. Mafunzo hayo yalifanyika tarehe 1 hadi 2 Januari 2022. Mafunzo haya Yaliwashirikisha